YALIO MKUTA LEONEL MESS KWENYE ULIMWENGU WA SOKA
Huko Iran kijana mmoja ambaye amejinyakulia umaarufu baada ya kujikuta kuwa akifananishwa na mchezaji wa klabu ya Barcelona Leonel mess ambapo jina halisi la kijana uyo ni Reza Parastesh
ambapo ndani ya wiki hii kijana uyo alijikuta ameingia katika wakati mgumu pale ambapo watu wengi waliitaji picha ya pamoja hali ilio pelekea vurugu kubwa ndani ya mjii wa Hamadan ambapo hali ilio pelekea kijana uyo kuchukuliwa na polisi ili kuepusha umati huo kubwa ndani ya jiji hilo
ambapo kijana uyo alidai kwamba anapata furaha isio weza kuelezeka kwa kuweza kufanana na mchezaji huyo bora dunian '' japo mimi sina kiapaji cha soka ila napendezwa nae '' alisema kijana uyo
(na nilipata shida sana pale mwaka 2004 ambapo IRAN ilicheza zidi ya ARGENTINA katika kombe la dunia ambapo leonel mess alipata goli mnamo dakika ya 91 ambapo baba yangu alinifukuza nyumbani na kuniambia kwanini umeifunga IRAN. nilijikuta nikicheka mdaa wote kwa yale maneno ya baba yangu) Alisema kijana uyo
09/05/2017 AFRISTEPHO BLOG

No comments