HATIMAYE BRAZIL YAJIKITA KILELENI KATIKA SOKA

Hatimaye shirikisho la soka ulimwenguni (FIFA) laitaja timu ya soka ya barani amerika ya kusini, Brazil kuwa timu namba moja duniani kwa ubora kwa sasa. Takwimu hiyo mpya imeiweka timu ya Brazil kileleni ikifuatiwa na hasimu wake mkuu Argentina huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na Ujerumani
 Huku bara la Afrika timu ya taifa ya Misri ikishika nafasi ya 19 katika ubora wa soka ulimwenguni



No comments

Powered by Blogger.
"