JE, WAJUA?? MIMEA INA SIRI KUBWA KATIKA UFAULU WETU
Wanasayansi na watafiti mbali mbali nchini Uingereza wamesema huenda harufu itokanayo na mmea aina ya rosemary ina uwezo wakusaidia mtu kukumbuka mambo.
Mmea wa rosemary wenye rangi tofauti tofauti kama rangi nyeupe, samawati, waridi na zamabarau hutumiwa kama kiungo kwenye chakula na vinywaji au mchuzi.
Utafiti huu umeabaini wanafunzi waliokuwa kwenye chumba cha mtihani kilicho puliziwa harufu ya rosemary huwa una uwezo wakuvuta kumbu kumbu kati ya asilimia 5 hadi 7 kati ya vitu walivyovisahau, ukifananisha na wanafunzi walio kwenye chumba kisichokuwa na harufu ya mmea huu.
Mmoja wa wataalamu kutoka chuo kikuu cha Northumbria Dr. Mark Moss alisema matokeo yakutumia mmea huo yalikwasawa pia kwa watu wazima.

No comments