UNADHANI WEWE NIMUHUNI? KUTANA NA KISA HIKI
Katika miaka ya kati kati ya karne ya 19 huko Marekani palikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vilikuwa vikifahamika kama "AMERICAN CIVIL WAR" kati ya mwaka 1861-1865. Vita hivyo viligawanya bara la Marekani ya kaskazini Katika pande mbili.
Pande hizo zilikuwa utawala wa mataifa ya kusini ambayo yalifahamika kama "Confederate states" zilizojumuisha majimbo kama Alabama, Texas, Mississippi, South carolina na Florida na utawala wa kaskazini uliokuwa na majimbo kama Calfornia, Conneticut, Iowa,Indiana na Mengine mengi yaliyoungana na raisi Abraham Lincoln katika vita vya kupinga biashara ya utumwa nchini Marekani.
Katika vita hivyo kwenye Majimbo ya kusini alikuwapo mtu mmoja aliefahamika kama "Robert Small" ambaye alikuwa mtu mweusi na mtumwa katika majimbo hayo.
Sasa kama wewe unadhani ni muhuni huyu jamaa alipitiliza uhuni katika vita hivi. Ikiwa in mwaka wa pili tangu vita hivi vianze yaani mnamo Mei 13-1862, Robert Small alikuwa katika meli na baadhi ya watumwa wakisubiri kusafirishwa na nahodha wakizungu kuelekea vitani.
Robert Small alikuwa na kundi lingine la watumwa katika meli na nahodha wa meli hakuwepo, akajifanya yeye ndio captain wa meli hata kudiriki kuyavaa mavazi ya ukapteni na kofia ya kapteni iliyoweza kuficha sura yake isionekane kirahisi.
Aliweza kuomgea kwa ishara kama manahodha wengine wakizungu walivokuwa wakiongea kwa ishara pasipo kushtukiwa na wazungu kuwa huyu ni Robert small na akiwa anatoroka na meli na kundi kubwa la watumwa ndani yake. Aliweza kupita vikwazo vyote vya meli zilizokuwa zinaingia nakutoka katika "Confederate states" hata kufanikiwa kupita lango kuu lakuingia liitwalo "Fort sumter" na malango mengine yakujihami,
Alipomaliza ukanda wa bahari wa mataifa ya confederate states Robert Small alisimamisha bendera nyeupe juu ya meli yenye kuashiria amani na kujisalimisha mwenyewe kwenye meli za "Union states" zilizokuwa zinapinga utumwa wakati huo.
Robert small alijivusha mwenyewe kutoka utumwani nakujipatia uhuru wake. Kisa hiki kimeweza kumpatia sifa na umaarufu mkubwa katika jamii ya watu weusi na historia ya Marekani kiujumla hasa katika zama za utumwa. Aliweza si kujiokoa yeye tu, bali pia na watumwa wengine 17 waliokuwa ndani ya meli (wanawake watano, wanaume tisa na watoto watatu).

No comments