BARCELONA NA REAL MADRID ZA ZIDI KUCHUANA KUELEKEA UBINGWA WA LA LIGA
klabu ya barcelona yatoka kifua mbele kwa ushindi wa goli nne kwa moja (4-1) zidi ya villarreal ambapo magoli ya barcelona yalifungwa na Neymar huku leonel mess akishindilia goli 2 na suarez kufunga goli la mwisho huku upande wa villarreal goli lao likifungwa na bakambu
- uku kwa upande wa real madrid waliweza kuwa zamisha vijana wa granada kwa bao(0-4) ambazo zilifungwa na alvaro morata (2),James rodriguz(2)
No comments