FAHAMU MAMBO YA AJABU WANYAMA HUTENDA KULIKO BINADAMU
NDEGE
Je umewahi kutathmini na kuvutia picha rangi mbali mbali? inawezakana ikawa kazi ngumu ama isiwezekane kabisaa ila kwa kuwa kuna makundi mengi ya rangi ambayo binadamu hawezi kuyavutia picha katika ubongo wake.
Ndege wana uwezo mkubwa wakuona rangi mbali mbali ambazo si rahisi kuonekana kwa mwanadamu. Hii ni kutokana na uwezo wa ziada wa umpambanuzi wa rangi uliopo katika sehemu ya jicho lao(retina) ambayo iko makini na haraka katika kuziona rangi ambazo hazionekani kwa mwanadamu.
kinachofurahisha zaidi ugunduzi huu uliofanyika mwanzoni mwa miaka ya 1970 na watafiti uliweza kugundua kuwa jicho la ndege lina uwezo waku tofautisha madume ambaye hujamiiana nae pasipo kumchanganya kwa rangi ama sura, kitu ambacho kwa wanadamu huwaona ndege wote wa jamii moja kuwa wanafanana na hawana tofauti kabisa.
MJUSI WA YESU
Hili ni jina maarufu aliopewa mjusi huyu na wanadamu, ambaye kitaalamu zaidi hufahamika kama "Basiliscus basiliscus" au "Basilisk lizard". Mjusi huyu ana uwezo wakipekee wakutembea juu ya maji bila kuzama kama alivyofanya Yesu. Jina hilo la utani alipewa mjusi huyu kutokana na tendo hili kuonekana liko kiimani zaidi na kushindikanika na mwanadamu.

UMILELE WA MAISHA
Inawezakana suala la kuishi milele kwa mwanadamu likawa gumu sana hata siku ya mwisho itakapokuja, japo wapo wanasayansi mbali mbali ambao hukinzana na kauli hizi kwa kuwa huamini inawezakana na ni suala la muda tu.
Mwanasayansi Aubrey de Grey anaamini jambo hili litawezekana miaka 25 ijayo kuanzia sasa. Lakini je, uliwahi fikiri kuna viumbe wanaishi pasipo kufa? kutana kiumbe huyu anayeitwa jellyfish(yavuyavu) ama kwa kitaalamu anatambulika kama "Turritopsis nutricula" ambaye pindi afikapo katika steji ya ukubwa na kujizalisha huamua hujirudisha tena katika steji yake ya mwanzo kabisa. Hii humpa uwezo wakuishi tena na tena na tendo hili huwa endelevu pasipo mwisho.
KULALA KWA NUSU UBONGO
Yawezekana ikawa jambo gumu sana kwa mwanadamu ila kwa viumbe wengine linawezekana kiurahisi.
Jamii ya viumbe waishio baharini ambalo huwajumuisha nyangumi, pomboo (dolphin) na wengine pia liitwalo kitaalamu "cetaceans" wana uwezo mkubwa wakulala huku nusu ya ubongo wao ukiwa wafanya kazi na nusu nyingine umelala. Tendo hili hufahamika kitaalamu kama "unihemispheric slow-wave sleep".

No comments