BREAKING NEWZZ, MAKUBWA YATOKEA ARUSHA
Ajali kubwa imetokea leo hii jijini Arusha ambapo basi lililokuwa limebeba wanafunzi na walimu lilipata ajali na kusababisha vifo kadha wa kadha papo hapo. Ajali hiyo imetokea wilayani Karatu ulipo mto Mlera
Akizungumza kutokea mkoani Arusha kamanda wa polisi wa mkoa huo Charles mkumbo alisema ajali hiyo imesababisha vifo vya wanafunzi 31 na walimu wao papo hapo. Hizi ni moja ya picha za maiti wa ajali hiyo mkoani Arusha.

Kwa taarifa zaidi endelea kuwa nasi na kutembelea blogu yetu
MAY-06-2017; AFRISTEPHO BLOG
No comments