RAIS DR. JOHN MAGUFULI AONGOZA WAFANYABIASHARA KATIKA MKUTANO WA KUMI WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA
Raisi Dr. John Pombe Magufuli leo hii katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Ikulu jijini Dar es Salaam ameongoza Mkutano wa baraza la Taifa la Biashara ambaye yeye ni Mwenyekiti wa baraza hilo.
Katika mkutano huo Mheshimiwa Raisi aliambatana pamoja na waziri mkuu mh. Kassim Majaliwa(kushoto) pamoja na mwenyekiti wa taasisi ya sekta binafsi(TPSF) Dr. Reginald Mengi.
Katika mkutano huo ulihudhuriwa na wajumbe na mawaziri mbalimbali wakimskiliza raisi wa jamhuri ya muungano Dr. John Pombe Magufuli Ikulu.
Hizi ni baadhi ya picha za viongozi na wajumbe mbalimbali waliohudhuria mkutano huo kaitka ukumbi wa Dr. Jakaya kikwete uliopo ikulu jijini Dar es salaam.
MAY-06-2017; SATURDAY- AFRISTESPHO BLOG
No comments