UNADHANI, ARSENE WENGER ANAWEZA KUMALIZA UTEJA KWA MOURINHO LEO?

Yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea mpambano wakukatana na shoka leo hii, kati Arsenal watakaokuwa wakiwakaribisha Manchester united katka dimba lao la Emirates majira ya saa kumi na mbili jioni. Mara nyingi kocha wa arsenal Arsene wenger amekuwa hapati matokeo mazuri pindi akutanapo na kocha wa sasa wa Manchester united Jose mourinho.
Je, leo anaweza kumaliza uteja kwa mourinho?

 Katika mwendelezo wa mechi hizo klabu ya Liverpool itaikaribisha Southampton katika dimba la anfield. Mchezo huo utapigwa mapema majira ya saa tisa na nusu alasiri.

No comments

Powered by Blogger.
"