RONALDO AZIDI KUPEWA KIPAU MBELE BALLON D OR 2017

.
Gazet la kifaransa lazidi kuvumisha habari kwamba cristian  ronaldo (32) kupewa kiapao mbele cha  kupewa tuzo ya mchezaji bora wa ballon d or baada ya kuaza kutaka kujua nani wa kumshindanisha na ronaldo kwa sasa.ronaldo ambaye alitwa tuzo yake ya nne mwaka jana baada ya kuwa na mchango mkubwa katika hatua ya kilabu na timu yake ya taifa baada ya kutwa makombe makubwa ikiwemo klabu bingwa ulaya na kombe la europa akiwa na timu yake ya taifa ya ureno.



  lakini hata ivyo takwimu za mwaka huu zina kuwa ni kigezo kikubwa cha cristiano ronaldo kuweza kutwa tuzo hiyoo kwani real madrid ipi mbion kunyakua makombe mawili msimu huu ikiwemo laliga na uefa kwani katika hatua ya mtoano ameweza kufunga magoli 8 kitu ambacho watu wamekichukulia kama kigezo kikubwa cha mcheezaji uyo kuweza kutwa tuzo hiyo.





lakini ukiachana na leonel mess ambaye apewi nafasi kubwa msimu huu kutokana na kushindwa kuendelea mbele katika hatua ya mtoano ya uefa pia kuna goli kipa mkongwe wa juventusi girgu buffon ndie anae onekana kuwa mshindani haswa wa cristiano ronaldo.pia katika tuzo iyo pia wamo wachezaji kama antonio grezman wa atletico pia na kinda wa monaco kyilian mbape



afristepho blog

.

No comments

Powered by Blogger.
"