MFAHAMU BINTI MDOGO ANAYESHIKILIA REKODI YA UBILIONEA DUNIANI KWA SASA
Inawezakana likawa jambo la kushangaza sana, hasa kwa jamii nyingi za kiafrika lakini hili linawezekana. jariba la Forbes mwezi machi mwaka huu imetoa listi ya matajiri wadogo ulimwenguni kwa sasa wenye umri mdogo na rekodi hii kwa mwaka 2017 imeshikiliwa na binti mdogo kabisa "ALEXANDRA ANDRESEN" mwenye umri wa miaka 20 tu.
Binti huyu na dada ake "KATHARINA ANDRESEN" mwenye umri wa miaka 21 waliweza kuingia kwenye listi ya ubilionea mnamno mwaka jana, na hii ni baada ya Baba yao kuhamishia usimamizi na utawala wa mali na miradi ya familia kwa mabinti hao mwaka jana.
Mabinti hawa wote kila mmoja wao ana utajiri wa dola bilioni 1.2
No comments