KWANINI WATU WEUSI WENYE MACHO YA BLUU NI WACHACHE?
Imekuwa ni Tamaduni na desturi kwa watu weupe kuwa na macho ya bluu, na watu weusi wenye macho hayo kuwa wachache sana duniani.
Imani hii imejengeka ulimwenguni kote kuwa watu weusi hawana macho ya bluu. Lakini bado kuna kundi dogo la watu weusi wanaozaliwa na macho haya hadi sasa japo wako kwa uchache ukilinganisha na watu weupe.
Mastaa wawili wa jamii ya watu weusi duniani ambao walikuwa waigizaji Vanessa Williams na Michael Healey ndio walikuwa na macho ya bluu.
Swali ni je, ni kwanini ama ni wapi watu weusi walipata macho ya bluu?
Wanasayansi walitoa moja ya majibu yakuwa watu weusi kuwa na macho ya bluu ni mabadiliko ya vinasaba ambayo kitaalamu hufahamika kama 'genetic mutation' au 'waardenburg syndrome(WS) amabyo hutokea kwa uchache mno kwa uwiano(ratio) wa (1/40,000) kwa jamii nzima.
Ambapo mapungufu haya huchangiwa hasa na kutokuwa sawa(abnormalities) katika mishipa ya fahamu(sensorneural) ambayo wakati mwingine huchangiwa na ukiziwi ikiambatana na mabadiliko ya rangi ya jicho(pigmentary anomalies)
Ijapokuwa ni kweli na ushahidi tosha wa kihistoria kuwa waafrika waliitawala ulaya miaka yapata 10,000 iliyopita na pia walikuwa wanadamu wa kwanza kukatiza ulaya kuelekea barani Asia na kusini mwa bahari ya pasifiki. ushahidi huu wa kihistoria ulipelekea mjadal kwa watu weusi wenye macho ya bluu aidha walirithi kutoka kwa mababu zao ambao walizaliana na watu weupe katika zama hizo(inter-breeding) kipindi cha utawala wa watu weusi barani ulaya?
Utata mkubwa na maswali mengi yameibuka ni kwanini watoto wanaozaliwa na wazazi wote walio weusi wanakuwa na macho ya bluu?
MAY, 07-2017; AFRISTEPHO BLOG

No comments