IFAHAMU MIJI GHALI ZAIDI DUNIANI KWA SASA

Licha ya watu kutumia vitu vya gharam kupamba miili yao, vivyo hivyo serikali nayo hutumia gharama kuijenga miji yao. Kuna majiji na maeneo ya gharama ambayo pengine kwenye maisha yako umewahi kuyaona na mengine bado hujayaona, leo nakuonyesha video fupi yenye kukuelezea miji 10 ya gharama kwa mwaka 2017.

MAY, 11-2017; AFRISTEPHO BLOG

No comments

Powered by Blogger.
"