HALI NGUMU EPL TOP FOUR YAWEZA KUWA NDOTO KWA BAADHI YA TIMU????????.
Tarehe 21 mwezi huu viwanja
mbalimbali nchini Uingereza Vitapata mshangao usiotarajiwa pale ambapo ile michezo ya
kufunga msimu wa ligi kuu nchini humo utakapokua ukifikia ukingoni
huku vitakali ikiwa kati ya zile timu zinazowania kuingia katika nafasi
nne za juu.
na kama ratiba ionekanavyoo ikionyesha hali ngumu kwa baadhi ya timu zinazo shuka daraja na kwa zile baadhi ya timu zinazo shikana mashati ya kugombania nafasi muhimu na tutaweza kushuhudia baadhi ya timu zitakazo pokea matokeo ya jumapili zitaweza kutoa misimamo juu ya makocha wao.
afristepho blog
No comments