HABARI NJEMA KWA WAPENDA SOKA NA MBAYA KWA MAJIRANI.....

kocha mkuu wa timu ya chelsea yenye maskani yake jijini landani ni kwamba muitaliano antonie conte ameaza taratibu za kuweza kuamishia familia yake jijini londoni kwani anahitaji kuwa karibu na familia yake yenye mama na mtoto wao mmoja. Hata ivyo muitalia huyo alithibitisha kwamba kwa msimu huu ilikuwa ni vigumu kuimisha familia yake kwani mtoto wao huyo wa kike alikuwa anaendelea na masomo yake kwaiyo suala la kumkatiza masomo ni vigumu ila kwa sasa itakuwa ni wakati sahihi wa kuweza kumuamisha na kuweza kuzoea mazingira tofauti na italia , nukuu kutoka kwa kocha huyo wa chelsea




kwamaana hiyo zile taarifa zilizokuwa zina muhusisha kocha huyo wa chelsea kwamba anataka kuelekea italia kwa wababe intermilan zimefutika kwani presha ilikuwa kubwa kutokana na jeuri ya wamiliki wapya wa intermilan waliweza kuonesha nia ya kutoa dau kubwa mno ambalo lingeweza kuikamata saini ya muitalia huyoo.

No comments

Powered by Blogger.
"