CHELSEA YAMALIZA KIBARUA
Timu ya chelsea yamaliza kibarua cha kulisaka taji la ligi (EPL) baada ya kuiangamiza west brom katika uwanja wao wa nyumbani.'' the hawthorns'' baada ya mchezaji wa kifaransa '' M.batshayi'' kupachika goli mnamo dakika ya 82 na kuwafanya wababe hawo wa darajani kuweza kunyakua taji hilo lililo kuwa liki nyemelewa na vijana wa totenham.(1-0)
sasa chelsea wanavunja ile rekodi ilio wekwa na arsenal ya kuchukua kutangaza ubingwa siku ya ijumaa ilio kuwa mwaka 1989.
vijana wa antonie conte wakifurahi kwa pamoja na Kapteni wao john terry.
kocha antonie conte anakuwa kocha wa 4 mfululizo kunyakua kombe katika msimu wake wa kwaza wa ligi (EPL)
sasa chelsea wanavunja ile rekodi ilio wekwa na arsenal ya kuchukua kutangaza ubingwa siku ya ijumaa ilio kuwa mwaka 1989.
No comments