ARSENAL YASHIKWA NA BUTWA BAADA YA KUIKOSA NAFASI YA UEFA

hati mae ligi ya epl yaisha  kwa kila timu kuweza kukamilisha mechi 38 na kwa baadhi ya timu ziptazo 3 zimeshuka daraja na kuweza kupata wawikilishi  katika mashindano makubwa ya UEFA na EUROPA timu zilizo fuzu hatua iyo kwa upande wa top 4 ni chelsea,totenham,manchester city na liverpool na kwa upande wa EUROPA ni manchester untd, arsenal na everton

afristepho.blog

No comments

Powered by Blogger.
"