RAISI MTEULE WA KOREA KUSINI ANENA HAYA.....
Baada ya raisi mteule wa korea kusini bwana Moon jae-in kuwa na utayali wa kufanya masuluhishi ya vita baridi vinavo husisha nchi kazaa ikiwemo USA, CHINA, JAPAN,SOUTH KOREA,NORTH KOREA amehitaji kufanya ziara nchini korea kaskazin katika kitengo kinacho shughulikia masuala ya nyuklia nchini umo.
na suala hilo la bwana Moon limekuwa ni kitu muhimu kwani baadhi ya mshirika mwezake USA kuongeza wasiwasi kwa baadhi ya nchii kazaa kutokana na kueweza kufunga mtambo mkubwa wa rada uitwao (THAAD) kwani baadhi ya washirika ikiwemo CHINA kutilia mashaka kuwepo kwa uwezekano wa mtambo huoo kuweza kuchunguza uwezo wao wa kijeshi nchini mwao suala hilo limekuwa likitilia mashaka miugoni mwa washirika

pia bwana moon alidai kwamba(yupo tayari kwenda popote pale kuleta amani ikiwemo katikika mipaka ya korea kwa ujumla)
MOON JAE IN

No comments